www.ngarakwetu.blogspot.com,imefanya ziara Bungeni Mjini Dodoma kuzungmza na Wabunge,Waziri kuhusu mikakati ya kuboresha Afya,kuondoa Changamoto na kuweka mipango.
|
Juventus Juvenary |
|
Kutoka Kushoto pd.James Kayanda,Juventus Juvenary wa Radio Kwierza tukizungumza na Mbunge wa Kigoma kaskazini na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo,nje ya Bunge Dodoma. |
|
Kushoto ni Pd.James Kayanda,Mratibu wa Kipindi cha Afya yako Haki yako,kati kati ni Dk.Hamis Kigwangala Naibu waziri wa Afya,Jinsia na maendeleo ya watoto akihojiwa na Juventus Juvenary-Bungeni Dododma |
|
Nikiwasili Dodoma-Juventus |
|
Mazungumzo kati ya Juventus Juvenary-Radio Kwizera na Mbunge wa Geita Mjini Costantine John kanyasu-Dodoma |
|
Mazungumzo na Mbunge wa Biharamulo Magharibi Oscar Mukasa-Dodoma |
|
Mazungumzo na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige Mjini Dodoma |
|
Mazungumzo na Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Shinyanga-CHADEMA Salome Makamba,Bungeni Dodoma |
|
Kushoto ni Pd.James Kayanda-Radio Kwizera,katikati ni Oliva Semuguruka Mbunge viti Maalum mkoa wa Kagera CCM, na Juventus Juvenary-Dodoma |
|
Pichani ni Juventus Juvenary,Pd.James Kayanda wa Radio Kwizera,katikati ni Naibu waziri wa habari,Utamaduni na Michezo Anastazia Wambura,Alex mchomvu afisa uzalishaji wa vipindi radio Kwizera na kulia ni Oscar Mukasa Mbunge wa Biharamulo. |
|
Kutoka kushoto ni Alex Mchomvu-Radio Kwizera,Mwenye suti katikati ni Alex Gashaza mbunge wa jimbo la Ngara,Juventus Juvenary na Pd.James kayanda-Radio Kwizera. Picha ilipigwa mjini Dododoma. |
Mengi zaidi,Sikiliza kipindi cha Afya yako,haki yaki-Radio Kwizera
www.ngarakwetu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment