May 18, 2017

Mkutano wa Mbunge,Jimbo la Ngara

Wananchi wa Mjini  Ngara, wakiwa katika Mkutano wa Mh.Mbunge  Alex Gashaza uliofanyika katika uwanja wa Posta ya zamani hivi karibuni. Mikutao kama hiyo ni sehemu ya uwajibikaji wa  viongozi wa  kuchaguliwa wakiwemo madiwani na wabunge ambapo wananchi hupata nafasi ya kuuliza maswa,kutoa hoja na kupewa ufafanuzi wa msuala mbali mbali ya maendeleo.

Blogu hii ya ngarakwetu,inampongeza Mh.Gashaza kwa uwajibikaji kwa wananchi. tunamtakia utekelezaji mwema wa Ilani,na kumuombea uwakilishi mwema kwaajili ya maendeleo ya  wananchi.
Mh.Alex Gashaza Mbunge wa jimbo la Ngara akitoa ufafanuzi,kujibu maswali ya Wananchi na kuzungumza nao katika Uwanja wa Posta ya Zamani mjini Ngara.




sehemu yya meza  kuu,b aadhi ya waheshimiwa madiwani wakifuatiia mkutano wa Mbunge



                         Picha kwa Hisani ya ndugu Isaya,driver wa mh.mbunge. www.ngarakwetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment