November 17, 2013

DC&DED Muleba wapongezwa kwa utendaji kazi

Pongezi kwa viongozi hao zimetolewa na M/kiti NCCR Mageuzi wilayani Muleba Phagency Kapia wakati wa Ziara ya Mbunge wa jimbo la Muleba kusini ambaye pia ni waziri wa ardhi na makazi Prof Annah Tibaijuka

No comments:

Post a Comment