Wadau wakijadili kuhusu utendaji kazi wa TAKUKURU katika uchunguzi na udhibiti wa rushwa katika miradi ya maendeleo kupitia Radio Kwizera Ngara
|
Kushoto ni Bw. Malanilo Simon akijibu swali na mwanahabari william Mpanju ndani ya studio za Radio Kwizera, Msimamizi wa matangazo ni Juventus Juvenary hayupo pichani |
|
Kutoka kushoto ni Bw. Malanilo,katikati ni mwanahabari wa RK william Mpanju na kulia ni afisa kutoka TAKUKURU Ngara Bw. Daudi Kapama |
Hayo yamejiri wakati wa mjadala wqa asubuhi njema Novemba 22, 2013 kupitia Radio Kwizera-Ngara. Mjadala ulikuwa unahusu namna TAKUKURU wanavyoshiriki katika kuchunguza na kuzuia Rushwa katika miradi mbali mbaili ya maendeleo
No comments:
Post a Comment