July 23, 2012

Biashara ya Chini

hapa ni eneo la Mulyabibi,wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma ambapo baadhi ya wajasiliamali hasa wa mazao ya kilimo hutandaza chini bidhaa zao kama Kamera ya Ngara yetu ilivyoshuhudia Vipande vya miwa vikiuzwa. Kila Kipande ni shilingi miambili(200/=). Miwa hii ni mitamu,laini ! Changamoto iko katika Usafi.Hakuna maji ya kuosha,inatandazwa chini jambo ambalo ni hatari kwa afya za watumiaji.

No comments:

Post a Comment