CHUO CHA MAFUNZO YA MADINI
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO – 2016/2017
KOZI ZA MADINI, KUOPARETI
MASHINE, UDEREVA WA MAGARI NA UFUNDI MAGARI
Mkurugenzi wa Chuo
anawatangazia nafasi za masomo kama
ifuatavyo:-
·
MINING
ENGINEERING - Ngazi ya Cheti ((mwaka mmoja)
·
MINERALS
PROCESING – Mwaka mmoja
·
GIOLOGY
AND SUVEY EXPLORATION – Mwaka mmoja
·
OIL
AND GAS - Mwaka mmoja
·
MASHINE
OPARETING – Miezi miwili
·
UDEREVA WA MAGARI – miezi miwili
·
UFUNDI
MAGARI – mwaka mmoja
CHUO KIPO KATIKA HAMASHAURI
YA MJI WA KAHAMA ENEO LA NYAHANGA JIRANI NA KANISA LA MLIMA SAYUNI – AICT
SABABU ZA KUJIUNGA NA CHUO HIKI
·
Utapata
ujuzi ambao utakuwezesha kujiajiri na kuajiriwa kwenye Migodi ya Madini
nje na ndani ya nchi yetu.
SIFA ZA KUJIUNGA – KWA KOZI ZA OPERATING MASHINE , FUNDI MAGARI NA
DEREVA WA MAGARI
·
Elimu
ni kuanzia Darasa la Saba , kidato cha
Nne na kuendelea
·
Umri
uwe na miaka 18 na kuendelea
KOZI ZA MINERALS ENGINEERING
·
Uwe
umehitimi Kidato cha NNe na kupata ufaulu usiopungua masomo manne
·
Kwa
wale ambao hawakufaulu kidato cha Nne watapokelewa na watasoma kozi hii na
watafanya mtihani wa Chuo tu na watapewa Cheti cha Chuo na
watapelekwa kufanya kazi Mgodini baada ya kuhitimu masomo yao.
Masomo
yataanza tarehe 1st Octoba, 2016
FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KAHAMA , KWA IGUNGA NA MAENEO
YA JIRANI FOMU ZINAPATIKANA UWENDE STATIONERY , BARABARA YA
MWANZUGI, MKABALA NA THE PEAK LODGE (WAKALA WA CRDB). PIA
UNAWEZA KULIPIA FOMU KWENYE AKAUNTI YA CHUO AMBAYO NI “ KAHAMA MINERALS
TRAINING COLLEGE ”
AKAUNT NO. 0150207776700 CRDB BANK.
GHARAMA YA FOMU SHILINGI ELFU KUMI TU
(10,000/=).
Kwa maelezo zaidi tupigie simu kwa namba zifuatazo:-
0742 522290, 0789 637020 & 0629 906218
WOTE MNAKARIBISHWA
CHUO CHA MAFUNZO YA MADINI
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO –
2016/2017
KOZI ZA MADINI, KUOPARETI
MASHINE, UDEREVA WA MAGARI NA UFUNDI MAGARI
Mkurugenzi wa Chuo
anawatangazia nafasi za masomo kama
ifuatavyo:-
·
MINING
ENGINEERING - Ngazi ya Cheti ((mwaka mmoja)
·
MINERALS
PROCESING – Mwaka mmoja
·
GIOLOGY
AND SUVEY EXPLORATION – Mwaka mmoja
·
OIL
AND GAS - Mwaka mmoja
·
MASHINE
OPARETING – Miezi miwili
·
UDEREVA WA MAGARI – miezi miwili
·
UFUNDI
MAGARI – mwaka mmoja
CHUO KIPO KATIKA HAMASHAURI
YA MJI WA KAHAMA ENEO LA NYAHANGA JIRANI NA KANISA LA MLIMA SAYUNI – AICT
SABABU ZA KUJIUNGA NA CHUO HIKI
·
Utapata
ujuzi ambao utakuwezesha kujiajiri na kuajiriwa kwenye Migodi ya Madini
nje na ndani ya nchi yetu.
SIFA ZA KUJIUNGA – KWA KOZI ZA OPERATING MASHINE , FUNDI MAGARI NA
DEREVA WA MAGARI
·
Elimu
ni kuanzia Darasa la Saba , kidato cha
Nne na kuendelea
·
Umri
uwe na miaka 18 na kuendelea
KOZI ZA MINERALS ENGINEERING
·
Uwe
umehitimi Kidato cha NNe na kupata ufaulu usiopungua masomo manne
·
Kwa
wale ambao hawakufaulu kidato cha Nne watapokelewa na watasoma kozi hii na
watafanya mtihani wa Chuo tu na watapewa Cheti cha Chuo na
watapelekwa kufanya kazi Mgodini baada ya kuhitimu masomo yao.
Masomo
yataanza tarehe 15th Octoba, 2016
FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KAHAMA KWA GHARAMA YA TSHS 10,000/= ,
UNAWEZA KULIPIA FOMU KWENYE AKAUNTI YA CHUO AMBAYO NI “ KAHAMA MINERALS
TRAINING COLLEGE ”
AKAUNT NO. 0150207776700 CRDB BANK NA UTATUMIWA FOMU MAHALI
POPOTE ULIPO.
Kwa maelezo zaidi tupigie simu kwa namba zifuatazo:-
0742 522290, 0789 637020 & 0629 906218
WOTE MNAKARIBISHWA
www.ngarakwetu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment