November 27, 2012

TUKIO NA PICHA ZA KIFO CHA SHARO

Hili ndio Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga 
Wananchi wakifika eneo la Tukio,Baadae mwili wa marehemu ulihifadhiwa katika hospitali teule Muheza
Wananchi wakafurika katika Chumba cha kuhifadhi Maiti katika Hospitali Teule
Mbunge wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea

No comments:

Post a Comment