Jumatano ya Juni 29,Dkt.Anthony Gervase Mbassa alizikwa.
|
Jeneza la Dkt.Mbassa |
Ilikuwa wakati wa kuaga Mwili wa marehemu. Zoezi hilo lilitanguliwa na ibaada
Kutoka kushoto,ni waombolezaji Mwl.Hermas kabujaja,katikati ni aliyekuwa driver wa Mbassa wakati wa Ubunge 2010-2015 Bw.Zephrine Stephano na kulia ni Bw.Juventus Juvenary.
|
Wakati wa salaam za Mwisho kwa Mwili wa Marehemu Dkt. Anthony Gervase Mabssa |
Ibaada maalum ilifanyika nyumbani kwake Mtaa wa Rukaragata,na Mazishi yakafanyika katika Kijiji cha Chaitaka ambako ndiko alikozaliwa. Bwana alitoa,Bwana ametwaa jina la Bwana lihimdiwe. Amen
www.ngarakwetu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment