August 23, 2013

Huu ndio mto Kagera,humwaga maji Ziwa Victoria hadi Mto Nile

Picha imepigwa kutokea kilima kilichopo Tanzania,Kushoto kilima kiko nchini Burundi na kinachoonekana kulia kipo Rwanda. Ndio maana eneo hilo likaitwa Mafiga matatu

Muonekano wa mto

Taswira ya mafiga 3

Mwenye Kanzu nyeusi ni Sheikh mkuu wa wilaya ya Ngara Rajab Abdallah Msabaha,akiwa na Shaaban Ndyamukama mwenye kilemba chekundu(mwana ngarakwetu) na imam wa msikiti wa kabanga Custom-Ngara wakitembelea eneo la mafiga 3 kasange

Mwanangarakwetu Shaaban Nassib Ndyamukama akitoa maelezo ya jiografia ya eneo hilo kwa Sheikh mkuu wa wilaya ya Ngara na Viongozi wenzake

Add caption

Juventus Juvenary(blogger) wa ngarakwetu mwenye jacket katika picha ya pamoja na Sheikh mkuu wa wilaya ya Ngara Rajab Abdallah Msabaha wakiwemo viongozi wa Dini ya Kiislam katika ziara kutembelea eneo hilo la kihistoria Mafiga 3

Huu ndio Usafri wetu. tulilazimika kuliacha njiani na kutembea kwa miguu ili kufaidi mandhari ya eneo hilo

1 comment: