November 23, 2012

November 22 siku ya Hofu Ngara!Muonekano

Muonekano wa kitu kilichodhaniwa kuwa ni bomu

Kikiwa na alama ya Kuungua

ni kama kimeungua

Walio kishuhudia,inasemekana kilikuwa na utambu uliokuwa ukiwaka

Kimefunikwa kwa kamba za plastic ngumu

Ni vigumu kukitambua

kwa ndani kina umbo la pipa,kina mfuniko mfumu na Shafti kwa ndani
Wananchi wakifika eneo la tukio kukishuhudia


Kinavyoonekana kwa juu

sehemu ya kitu hicho iko ardhini na nyingine juu
Bado wananchi wanasubiri Ripoti ya maaskari wa JWTZ. awali taarifa zilisemekana kuwa Kikosi cha kinachoshughulikia Milipuko kutoka Biharamulo kilishindwa kubaini ni Kitu gani

Mkuu wa wilaya ya Ngara Costantine Kanyasu ametoa tahadhari kwa wananchi kutokisogelea

3 comments:

  1. Au ni king'amuzi mana tunakaribia 31 dec nchi kuingia digital!?

    ReplyDelete
  2. Mimi ni mfwataji ya mambo ya kisayansi (astronomy. Haka kajitu ni kama tenki la mafuta ya rocketi yanayopeleka watu/satelliti binguni. Design yake inaonyesha kuna kevlar spiral fibres kuzuia ipasuke na inaweza kuwa tenki satelliti iliyoanguka kutoka binguni. Tafadhali msisimama karibu sana sababu mafuta ya rocketi (hydrazine) ni mbaya sana kwa afya ya binadamu.

    Abraham Samma.
    http://mslcuriosityjournal.blogspot.com

    ReplyDelete