August 6, 2013

PICHA ZA BASI LA LUSHANGA LILIPOUNGUA MOTO HUKO KIBONDO-KIGOMA


Tukio hili limejiri mwishoni mwa juma lililomalizika katikati ya Mji wa Kibondo mkoani Kigoma. Imeelezwa na mashuhuda kuwa mizigo yote ya abiria iliyokuwa ndani ya Basi iliteketea. Chanzo cha moto hakijawekwa wazi

1 comment:

  1. Nawapa pole waliofiwa na majeruhi wote mungu ata wanusuru ,kwakweli ajali hiyo nimiongoni mwa ajali mbaya sana ambazo zime wahi kutokea hapa nchini.je uchunguzi unasemaje juu ya hanzo9 cha ajali hiyo ?Ina skikitisha mno jamani.Hebu uwekwe mnara mahala ambapo ajali hiyo ilipo tokea nimuhimu kwa kumbukumbuza vizazi vijavyo na historia ya sekta ya usafirishaji nchini.au mnasemaje wadau?

    ReplyDelete