August 29, 2013

FRANCIS BOTHA,BINGWA WA NDONDI WA ZAMANI ATUA TANZANIA

akiwasili hapa Nchini kushuhudia Mpambano kati ya Francis Cheka wa tanzania na Mmarekani Pill williams utakaofanyika August 30,2013 

Francis Botha wa pili kushoto  akiwa na Jay Msangi,Rais wa  Shirikisho la Ndondi duniani Howard Goldbeg  na wadau wengine wa masumbwi hapa Nchini 

Bondi Fracois Botha(White Buffalo) akizungumza na waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo dk.Fenella Mkangara . katika mazungumzo Botha ambaye amewahi kuwa Bingwa wa Ndondi mara mbili amefurahishwa na maendeleo ya mchezo huo hapa Nchini

No comments:

Post a Comment