May 23, 2017

Mbunge Akabidhi GARI LA WAGONJWA

Mbunge wa jimbo la Ngara  Mh.Alex Gashaza  amekabidhi gari la kubeba wagnjwa AMBUANCE ktika  kituo cha afya  Murusagamba



Ni  matumaini yetu sisi www.ngarakwetu.blogspot.com  kuwa Gari hilo litatumika kadiri ya  makusudio ili  kuwa msaada kwa wahitai.  hongera kwa mafanikio.
Picha na Issah Kazimoto

No comments:

Post a Comment