July 23, 2012

Njia Panda. Isaka Kahama,Kibondo-Kigoma,Ngara-Rusumo,Ngara-Kabanga

Wageni wetu msipate shida. hapa kama umetoka Ngara kwenda Dar au miko mingine utanyoosha barabara ya Kahama Isaka. kama unaenda Kibondo-Kigoma utaingia kulia. Eneo hili linaitwa Nyakanazi

No comments:

Post a Comment