August 30, 2012


Miaka 20 iliyopita, tangu  tarehe 2 Julai, 1992, Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria ya kuruhusu kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.

pamoja na Miaka 20 hivi sasa, tumepiga hatua, lakini, mpaka hii leo, bado upinzani kwa wengine unatafsiriwa kama ni uadui, na wakati mwingine ni uhaini.
………….Nini maoni yako.? Karibu katika asubuhi njema Radio Kwizera fm. Studio tuko na Mbunge wa jimbo la Muhambwe Mh. Felix Mkosamali
    Sikiliza RK Fm pia kupitia www.radiostationstz.com

No comments:

Post a Comment