October 15, 2013

RC KAGERA ASISITIZA UJENZI WA NYUMBA BORA NGARA&BIHARAMULO

Nyumba ya Tofali na kuezekwa kwa nyasi, inatajwa kuwa bora kuliko ya udongo
 Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Fabian Massawe amewataka wananchi wa wilaya za Ngara na Biharamulo kujenga nyumba kama hiyo.
hii ni moja ya nyumba duni wanazoishi wananchi

Mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe,nyuma pembeni ya askari ni Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Lichard Mbeho

Mkuu wa Mkoa wa Kagera,akijaribu kuingia katika moja ya nyumba duni wanazoishi wananchi.
Kanal Fabian Massawe amewataka wananchi kujenga nyumba bora za kuishi. Angalau za tofali na ziezekwe kwa nyasi

No comments:

Post a Comment