December 6, 2013

ZAWADI KWA WANAFUNZI WANAOFANYA VIZURI,NI MOTOSHA YA KUFANYA VIZURI ZAIDI KITAALUMA

Mwl. Erneus Cleophace akitoa zawadi kwa wanafunzi
 Mwalimu huyo, ametoa Zawadi binafsi ya kalamu na Daftari kwa wanafunzi 10 wa shule ya msingi Buhororo-Ngara waliofanya vizuri katika mitihani yao ya darasa la 6 kuingia darasa la 7 mwakani.
Wanafunzi wakiwa na baadhi ya wazazi. Kushoto ni mwalimu Erneus ambaye ametoa Zawadi

Mwalimu mkuu msaidizi wa shule hiyo ,Superi Jeremiah na mwl mkuu Rutatinikwa Paskalwa na mwenyekiti wa kamati ya shule wakigawa zawadi
NENO: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Wazazi jengeni tabia ya kufuatilia maendeleo ya wanafunzi,kuwakagua na kuwamotisha Kitaaluma. Hali hiyo itawapa moyo wa kuendelea kufanya Vizuri.
Na,Shaaban Nassib Ndyamuka-www.ngarakwetu.blogspot.com

1 comment:

  1. NENO: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Wazazi jengeni tabia ya kufuatilia maendeleo ya wanafunzi,kuwakagua na kuwamotisha Kitaaluma. Hali hiyo itawapa moyo wa kuendelea kufanya Vizuri.
    Na,Shaaban Nassib Ndyamuka-www.ngarakwetu.blogspot.com

    ReplyDelete