August 5, 2013

MWANAUME ALIYENG'ATWA ULIMI NA MKEWE ATOA MSAMAHA-NGARA

Bi.Justina Anold akizungumza na ngarakwetu baada ya kusamehewa


Bi Justina Anold,Kati kati ni Mwanahabari wetu William Mpanju na aliyesimama ndie Bw.Anlod Nyabenda
 
Nguo inayodaiwa kuchanwa wakati wa ugomvi uliopelekea kung'atwa ulimi

Aidha, imeelezwa kuwa katika ugomvi huo uliotokea wiki iliyopita,Bi Justina alipigwa teke na mmewe na kupelekea kung'oka jino. Hata hivyo,Bw. Nyabenda amesema anatoa msamaha kwa mkewe ikizingatiwa kuwa wameishi kwa muda mrefu na wanao watoto 3. Kwa hali hiyo ameeleza kuwa hana uwezo wa kuwalea peke yake na hataki kumbebesha mzigo mama yake mzazi kuwalea wajukuu kwakuwa ni mzee.

No comments:

Post a Comment