December 4, 2013

Wanandoa waaswa kudumisha Upendo na kusaidiana katika shida na Raha

Katika mfumo wa maisha aliyoweka mwenyezi Mungu Duniani mojawapo ni Upendo wa kimwili kati ya Adamu na Hawa (Eva) kuishi pamoja katika maisha ya ndoa.
Mara baada ya Mungu kutoa kauli ya kwamba nyote ni mwili mmoja basi uzao wa Adamu na mwezake yaliendelea kuridhiwa hadi leo kama wanavyoonekana wanandoa hao {Walimu} katika halmashauri ya wilaya ya Ngara Mohamed Namtimba na Rehema Kabuyoka
 
Katika send off

Bw.&Bi harusi Mohamed Namtimba na Bi Rehema Kaboyoka wakati wa Harusi yao

  Pamoja na kufunga pingu za maisha waliambatana na wasindikizaji wenzao Maalimu Shaaban Ndyamukama wa shule ya msingi Buhororo na na Mwalimu   Flora Elda Reuben Rulahemura  wa  shule ya msingi Nakatunga wilayani Ngara.

 

Wapambe wa maharusi, Shaaban Ndyamukama na Flora Elda Reuben Rulahemura wakati wa Send off


Wapambe wa maharusi, Shaaban Ndyamukama na Flora Elda Reuben Rulahemura wakati wa Harusi


 
Picha Zaidi wakati wa tukio:-
Mwl. Mohamed Namtimba

Mwl.Shaaban Ndyamukama wa www.ngarakwetu.blogspot.com

Maalim Shaaban Nassib Ndyamukama,kulia kwa Bwana Harusi akiomba Dua

Maharusi na wapambe wao
Ndoa hii, ilifungishwa na Sheikh wa Wilaya ya Ngara Rajab Abdallah Msabaha katika msikiti wa Mabawe.

No comments:

Post a Comment