July 29, 2013

UZINDUZI WA KIVUKO MV RUVUBU

UZINDUZI HUU UMEFANYWA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK.JAKAYA MRISHO KIKWETE JULY 27,2013
Mh.Rais Jakaya Kikwete katikati ya RC Kagera kanal Mstaafu Fabian Massawe na kulia ni Waziri wa ujenzi John Pombe Magufuri

JK akikata utepe

Jk katika Picha ya Pomoja na Viongozi

Fundi mitambo wa Radio Kwizera-Ngara  Yohana Bitta. katika ziara hiyo matangazo yalikuwa moja kwa moja

Kutoka kulia ni katibu wa CCM Ngara Bi.Hawa kachwamba,Issa Hussein Samma mjumbe wa NEC,M/kiti wa CCM Bw.Bagege na katibu wa siasa itikati na uenezi wa chama hicho Bw. Damian

Gari la Matangazo Radio K

Mjumbe wa NEC Issa Hussein SammaMwandishi wa Habari Radio Kwizera Dotto Jasson Bahemu  katika Picha na waziri wa ujenzi John Pombe Magufuri

No comments:

Post a Comment