July 9, 2016

NGARA WANASEMA, KWAHERI CHITANDA,KARIBU LUTENI COL.MICHAEL


PICHA ZOTE KWANIABA YA SHAABAN NASSIB NDYAMUKAMA.

PICHANI:- Kushoto ni Mkuu mpya wa Wilaya ya Ngara Luteni Col Michael Mangwela Mntenjele akikabidiwa Ofisi na aliyekuwa Mkuu wa wilaya hiyo Bi.Honoratha Chitanda.
Nje ya ofisi ya Mkuu wa wilaya. Mkuu wa wilaya ya Ngara wa zamani Bi.Honoratha Chitanda akiagana na Mkuu mpya wa wilaya hiyo Luteni Col Michael Mangwela Mntenjele baada ya Kumkabidhi Ofisi.
Mkuu mpya wa wilaya ya Ngara  Luteni Col Michael Mangwela Mntenjele akisalimiana na Mkuu wa  wa zamani Bi.Honoratha Chitanda mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya hiyo.
www.ngarakwetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment