August 9, 2012

Ajali Barabarani zaendelea kuwa tishio na Kikwazo cha maendeleo......

Wadau wa ngarakwetu wakishuhudia ajali ya Lori la  Mizigo muda mfupi baada ya kuanguka katika barabara kuu ya Kasulu Kigoma. ajali kama hizi zinajitokeza mara kwa mara na kupelekea vifo vya maisha ya Wananchi na uharibifu wa Mali. Ubovu wa barabara unatajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vya ajali kama hizi

No comments:

Post a Comment