August 9, 2012

HIP HOP VIJIJINI

Wadau,naomba niwashirikishe,Hiki ni kipaji kutoka Kijiji cha Rungwe Mpya  Wialaya ya Kasulu Mkoanin Kigoma. Ilikuwa sio Rahisi kupata jina lake  kutokana Kamera yetu kutokuwa na taarifa za uwepo wa MC huyo. ni katika Ziara ya timu ya wanahabari za radio Kwizera yenye makao makuu yake wilayani Ngara Mkoani Kagera kutembelea vilabu vya watuma salaam wa Radio hiyo katika maeneo mbali mbali ikiwa ni pamoja na Kijiji hicho cha Runge Mpya Kasulu.       

      Hata vijijini wanaweza,Fursa hazipatikani

No comments:

Post a Comment