October 30, 2012

Kikazi Zaidi. Namshukuru Mungu na wote waliofanikisha mimi kuwa hapa nilipo

Ni lazima kujaza log book

wakati mwingine auto play,ili kupumzika,chai nk

wakati mwingine kubadirishana mawazo na staff. Nikiwa na mwenzangu Godwin Bruchard. nimekuwa naye tangu Chuoni na sasa Kazini

Sasa najaza Kitambu niende home

No comments:

Post a Comment