October 26, 2012

NENO LA LEO. Wazazi mnawaandaaje watoto wenu wakati wakisubiri kuingia Kidato cha kwanza mwakani?

Baadhi ya wazazi na wanafunzi katika sherehe za kuhitiimu darasa la 7 mwa huu

Wahitimu wa Darasa la 7 shule ya msingi Kumwambu Wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma katika moja ya wimbo wakati wa mahafali

No comments:

Post a Comment