November 4, 2012

Habari njema kwa wakazi wa Ngara na wadau wa blog hii

Muda si mrefu ujao,www.ngarakwetublogspot.com itanzindua rasmi ofisi zake mjini Ngara. Pia tutaanza kutoa huduma mbali mbali kwa jamii ikiwa ni pamoja na kupiga picha za bei nafuu kwa matukio mbali mbali kama vile sherehe,harusi nk. Tutakuwa tukipiga picha za papo hapo

No comments:

Post a Comment