November 24, 2012

Naipenda sana Ngara. ngarakwetu kuzuri

Hii picha nimeipata kwa mdau aliyepo Ngara

Hapa ni Junction Ngara
Ni jambo la faraja kwa wakazi wa Ngara ambao wametoka muda mrefu au ambao hawakuwa na matumaini ya kuishi Ngara kwa kipindi hicho kwa madai ya kuwa huduma za msingi kama zinavyoonekana kwa sasa. hicho ni moja ya vituo vya mafuta wilayani Ngara Ngara Oil. Kipo Junction.njia ya k9 na Nyamiaga.

No comments:

Post a Comment