November 23, 2012

Wana Ngara ondoeni hofu

Na:Juventus Juvenary-Ngara
Hatimae hofu ya Mlipuko kwa wakazi wa wilaya ya Ngara imeondoka! Ni kufuatia Wataalamu wa miripuko kutoka Brigade ya Tabora TPDF wamebaini kuwa Kitu kilichodondoka katika ardhi ya Kijiji cha Ruganzo kata ya Kibimba wilayani humo siyo bomu bali ni Satelite.

No comments:

Post a Comment