Muonekano wa kitu kilichodhaniwa kuwa ni bomu |
Kikiwa na alama ya Kuungua |
ni kama kimeungua |
Walio kishuhudia,inasemekana kilikuwa na utambu uliokuwa ukiwaka |
Kimefunikwa kwa kamba za plastic ngumu |
Ni vigumu kukitambua |
kwa ndani kina umbo la pipa,kina mfuniko mfumu na Shafti kwa ndani |
Wananchi wakifika eneo la tukio kukishuhudia |
Kinavyoonekana kwa juu |
sehemu ya kitu hicho iko ardhini na nyingine juu |
Mkuu wa wilaya ya Ngara Costantine Kanyasu ametoa tahadhari kwa wananchi kutokisogelea
Au ni king'amuzi mana tunakaribia 31 dec nchi kuingia digital!?
ReplyDeleteMimi ni mfwataji ya mambo ya kisayansi (astronomy. Haka kajitu ni kama tenki la mafuta ya rocketi yanayopeleka watu/satelliti binguni. Design yake inaonyesha kuna kevlar spiral fibres kuzuia ipasuke na inaweza kuwa tenki satelliti iliyoanguka kutoka binguni. Tafadhali msisimama karibu sana sababu mafuta ya rocketi (hydrazine) ni mbaya sana kwa afya ya binadamu.
ReplyDeleteAbraham Samma.
http://mslcuriosityjournal.blogspot.com
nawashukuru wote mliotoa coments
ReplyDelete