July 29, 2013

UZINDUZI WA KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU RULENGE

Uzinduzi huu umefanyika July 28,2013 katika viwanja vya Kanisa Katoliki Rulenge. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Dr.Gresmus Ssebuyoya,mganga mkuu wa Hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo.

 
Mgeni rasmi Dr.Gresmus Ssebuyoya akitoa hotuba

Akiuza CD katika Uzinduzi huo

Akiendelea kuwasiliana na wadau kwaajili ya kununua CD

Mbunge wa jimbo la Ngara Bw.Deogratias Ntukamazina akiwa na Mapadre Ignas kushoto na Simion Katama kulia

Bi.Helena Adrian akifuatilia kwa ukaribu uzinduzi

Waaalikwa

Bi.Helena Adrian & M/kiti wa Kwaya Bw.Kahamba wakati wakihesabu Fedha zilizopatikana

Kwaya zikiendelea kutumbuizaWageni waalikwaRisala ya kwaya ya Familia takatifu, ilisomwa na M/kiti Bw.Revelian Kahamba

Padre Katama akizungumza na waumini


Mbunge,Bw. Ntukamazina na Padre Katama


Baada ya uzinduzi,Dr Ssebuyoya akielekea kwenye Gari lake kwaajili ya kuanza Safari kuelekea jijini Mwanza

Dr.Ssebuyoya tayari akijiandaa kuanza Safari baada ya uzinduzi

Ndugu, msomaji wa blog hii. kama una matangazo na unataka yawe hewani tafadhali wasiliana nasi. 0756432748

No comments:

Post a Comment