| katika Picha 1,2&3 ni Juventus Juvenary. Hapo ni Studio no.2 ambayo ndiyo Studio kuu ya kurushia matangazo |
| Juve |
| JVS |
| Picha hii na inayofuata,ni Godwin Bruchard. Katika vipindi vya Burudani anaitwa G2B |
| G2B |
| Huyu ni Frank Mwondo akiwa katika moja ya Studio za kuandalia Vipindi. studio no 1 |
| Huyu ni William Mpanju akiandaamoja ya vipindi vya Dini |
| Hapa ni Chumba cha Habari. Huyu ni Dotto Jasson Bahemu Mhariri wa habari akiwa kazini |
| Huyu Binti anaitwa Veronica Mabwile akinadika habari |
No comments:
Post a Comment