July 7, 2013

MBIO ZA MWENGE WA UHURU-NGARA

Fuatilia sherehe za Mwenge wa uhuru wilayani Ngara katika Picha. Picha hizi ni kwa hisani ya Shaaban Nassib Ndyamukama wa www.ngarakwetu.blogspot.com katika viwanja vya Kabanga

Mkuu wa wilaya ya Ngara Bw. Costantine Kanyasu akikabidhi risala ya utii kwa kiongozi wa mbio za Mwenge

Mwenyekit wa halmashauri ya wilaya ya Ngara Bw. John Shimilimana akikabidhi zawadi kwa mmoja wa wakimbiza mbio za mwenge
Hii ni kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya katika \picha ya pamoja na Mbunge wa Ngara Mh.Deogratius Ntukamazina

Katibu wa CCM Haula Kachwamba kutoka kulia akifuatiwa na  Mjube wa NEC Bw. Issa Samma
Baadhi ya wananchi walioamua kupanda mti ili kushuhudia matukio vizuri

Kauli mbiu ya mwenge 2013

No comments:

Post a Comment