August 10, 2013

WATOTO WATAKA MILA POTOFU ZIKOMESHWEWatoto wa tarafa ya Murusagamba wilayani Ngara mkoani Kagera  wametoa ombi kwa Serikali Pamoja na Mashirika yasiyo ya kiserikali kutoa elimu ya kutosha kwa jamii ili kuondoa mila potofu ambazo zimekuwa zikileta madhara kwa watoto mbalimbali hapa nchini pamoja na kusimamia sheria zinazowalinda. Hii ilikuwa mwendelezo wa siku ya Mtoto wa Afrika. Picha ni kwa hisani ya mwanawamakonda.blogspot.com

Afisa michezo wilayani Ngara Said Salum kulia

Kutoka kushoto ni Lichard Msekela kutoka Idara ya elimu,Kati kati ni Afisa mahusiano wa Kabanga Nickel Bw.Theophil Celestine na Kulia ni afisa michezo said Salum


No comments:

Post a Comment