September 10, 2013

UZINDUZI WA MBASSA CUP 2013

Mbunge wa Biharamulo Magh Dr Anthony Mbassa akielekea kupiga penalt kama ishara ya ufunguzi wa Ligi ya Soka.Mbassa Cup 2013 wilayani Biharamulo

akipiga penalt

Mwenye Mic kushoto na kibaragashia ni mwenyekiti wa chama cha soka Biharamulo Mwl Dauda Ramadhani akitoa ufafanuzi

Mb. Dk Mbassa akisalimia na kukagua wachezaji

Benchi la waamuziKutoka Kushoto ni Timu ya Bandari FC,katikati waamuzi na Kulia ni Timu ya Homeboys waliofungua Ligi.Bandari walishinda 4-0 dhidi ya Homeboys

Mwl Dauda ramadhani mwenyekiti wa Chama cha soka biharamulo na Mh Mbunge Dk, Anthony Mbassa


No comments:

Post a Comment