June 7, 2015

LOWASA MGENI RASMI JUBILEI YA MIAKA 50 KATOKE SEMINARI

waziri mkuu wa zamani edward Lowasa akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Biharamulo Bi.Dally Ibrahim Rwegasira katika uwanja wa ndege Katoke wilayani Biharamulo

Lowasa akiteremka kwenye ndege katika uwanja wa katoke

Lowasa akiongozwa na Padre Sixmund Nyabenda wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara katika maadhimisho ya jubilei ya miaka 50 ya seminari Katoke

Kuelekea jukwaani

Aliyenyoosha mkono ni Dkt.Gresmus Ssebuyoya ,aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya jubilei ya miaka 50 ya Seminari ya Katoke


Lowasa kati kati akiwa na maaskofu Severin Niwemugizi wa jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Methodius Kilaini askofu msaidizi jimbo la Bukoba,Desderius Lwoma wa Bukoba na Armatius Vincent Rweyongeza wa Kayanga.;

No comments:

Post a Comment