July 5, 2015

Dr.Peter Bujari aliporejesha Fomu ya kugombea ubunge Ngara-CHADEMA

Ni wakati wa kada wa CHADEMA Dkt.Peter Bujari aliporejesha fomu ya kuwania ubunge wa jimbo la Ngara kupitia chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika Uchaguzi Mkuu ujao

Zoezi hilo lilitanguliwa na mkutano wa hadhara katika uwanja wa Posta ya zamani Mjini Ngara.
Gari lililombeba Dkt.Bujari likiingia uwanjani

Dkt.Bujari akisimama kusalimia wananchi waliofurika uwanjani

sehemu ya waliohudhuria mkutano,wananchi wakiingia uwanjani


Wasafirishaji wa abiria kwakutumia Pikipki maarufu kama Bodaboda wakisherehesha mkutano huo kwa kupiga misele uwanjani.(wenyewe wanaiita kuchora)

No comments:

Post a Comment