December 23, 2015

VIPIMO VYA DNA,WANAUME WANALEA WATOTO SIO WAO

Asilimia 49 ya wanaume wanasemekana kulea watoto ambao sio wa kwao. Hii ni kulingana na matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo. Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele.


No comments:

Post a Comment