May 27, 2016

Morinho alamba Mkataba Man U.

JOSE MORINHO,ametiliana mkataba na Manchester United kuwa meneja mpya wa Timu hiyo ya Uingereza.

Mreno huyo, aliaga na kuondoka nyumbani kwake jana Alhamis majira ya saa 8 na dakika 50 na kukamilisha mazungumzo ya kuitumikia Manchester katika Hotel ya  central London, akikubali kuchukua nafasi iliyokuwa ya Louis van Gaal ambapo sasa ataitwa  boss wa  Old Trafford.


www.ngarakwetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment