Mourinho, ambaye amekuwa nje
ya Kibaru tangu alipotemwa na Chelsea Mwezi December anachukua nafasi ya
mshauri wake mtangulizi Van Gaal, aliyetimuliwa na Man U siku mbili baada ya ushindi
wa Kombe la FA dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Wembley.
www.ngarakwetu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment