May 21, 2016

Pata Elimu kuhusu Aina ya Mtoto unayetaka (Kike au kiume) au Mapacha kupitia Seminar na Dr. Fadhili Emily.

Pata Elimu kuhusu Aina ya Mtoto unayetaka (Kike au kiume) au Mapacha kupitia Seminar na Dr. Fadhili Emily.


Hakika Elimu ni muhimu sana. The Fadhaget Sanitarium Clinic chini ya Dr. Fadhili Emily tunakukaribisha wewe unayehitaji mtoto kwa kadiri ya mahitaji yako.

 Je unahitaji Mapacha?

Unatafuta mtoto wa jinsia fulani labda wa kike au wa kiume?

 Je unapenda mwanao afanane na nani? (afanane na baba au mama sana).


Karibu katika seminar kubwa itakayofanyika jijini Dar es Salaam Tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka huu. Katika Seminar hii Dr. Fadhili atatoa mafunzo na elimu na kufundisha mengi kuhusiana na hayo. 

Usikose seminar hiyo kwani utaweza kujifunza mengi kuhusiana na watoto mapacha, jinsia ya mtoto inavyopatikana na sayansi inasema nini kuhusiana na hayo.  Kumbuka elimu hii ni muhimu kwani kuna wengi wamekuwa wakijitahidi bila mafanikio, lakini kwa kupitia tafiti salama ambazo zina viwango bora unaweza kufahamu mengi na kuweza kufanikiwa kutimiza ndoto zako hasa za mtoto na uzazi wa mpango salama kabisa
Dr. Fadhili Emili akiwa na wanawe Mapacha
Elimu kutoka kwa Dr Fadhili Emily imezalia matunda wengi ikiwemo yeye mwenyewe, na kama unavyoona kwenye picha akiwa na wanawe mapacha na wamefanana naye kabisa. Kupitia elimu yake nawe utaweza kuchagua mtoto na kupangilia uzazi vyema kwa jinsi unavyotaka wewe. 

Kwa kutumia kanuni tisa ambazo zinafundishwa katika kutimiza yote hayo, utaweza kufahamu hatua mbalimbali za kufuata na taratibu zake. Kanuni hizo unaweza kuzigawanya katika vipengele vitatu. 
  1. Kanuni tatu kabla ya Tendo la Ndoa,
  2. Kanuni tatu wakati wa Tendo la ndoa, na
  3. Kanuni tatu baada ya Tendo la Ndoa. 
Hatua zote hizi zenye kanuni tisa zitaelekezwa vyema na kwa kutumia utafiti wa kisayansi wenye mafanikio asilimia mia moja utaweza kupangilia watoto kadiri ya mahitaji yako

No comments:

Post a Comment