December 10, 2012

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAAADILI YALIYOKUWA WILAYANI KIBONDO-KIGOMA

Baadhi ya vitu vilivyogawiwa kwa wagonjwa

Mmoja wa watumishi wa TAKUKURU Kibondo akifungua Box za sabuni

Maafisa wakiendelea kugawa Misaada

Zoezi la ugawaji wa Misaada katika wodi

Hapa ni katika wodi ya waazazi

Kamnda akiwa na mmoja wawagonjwa aliyepewa msaada

Juventus Juvenary akiwa kazini ikiwa ni sehemu yake ya kazi ili kuwajurisha wananchi kinachoendelea katika siku ya maadili. hapo ni katika wodi ya wazazi Hopital ya wilaya Kibondo wakati TAKUKURU walipogawa misaada


Mmoja wa makanda wa TAKUKURU bw. Nelson akifanya utamburisho

Watoto wamepewa Juice

Kaimu kamanda wa TAKUKURU Kibondo-Godwin Kahensa

Mmoja wa makamanda akitoa msaada wa Sabuni kwa mgonjwa

Ndani ya wodi

wakati wa interview na Kamanda Kahensa

Hapa ni ndani ya Ofisi ya Mganga Mfawidhi Hospotal ya wilaya Dr Florian Tinuga kulia akizungumza na Kaimu kamanda wa TAKUKURU Kibondo Dr Godwin Kahensa wakati wa siku ya Maadili


Dr Florian Tinuga kulia na mgeni wake Dr Godwin Kahensa

katika maadhimisho hayo,
Taasisi ya kuzuia na Kupamba na Rushwa TAKUKURU Ofisi ya Kibondo Mkoani Kigoma imewataka Watumishi wa Idara za Serikali na asasi za Binafsi kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na viapo vya kazi

Kaimu kamanda wa taaisi hiyo Dk. Godwin Kahensa ameseama hayo wakati akizungumza na uongozi wa Hospitali ya wilaya hiyo katika maadhimisho ya siku ya Haki za binada na maadili iliyofanyika leo

Dk.Kahensa amesema ikiwa watumishi watafanyakazi kwa kuzingatia maadili jamii itapata huduma bora

Aidha,katika maadhimisho ya siku hiyo ambayo duniani kote inaadhimishwa kila disemba 9 ya kila mwaka,Dk.Kahesa amesema siku hiyo hapa Nchini inaadhimishwa Disemba 10 kwakuwa Disemba 9 ni siku ya Uhuru. 


No comments:

Post a Comment