October 19, 2012

Mwanafunzi alazwa Hospitali baada ya kupigwa na mwalimu

Mwanafunzi wa Kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mugoma wilayani Ngara,aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Nyamiaga wilayani humo akitibiwa majeraha aliyopata kufuatia kichapo kutoka kwa mkuu wa shule hiyo kwa madai ya kutovaa viatu/sare ya shule

No comments:

Post a Comment