November 16, 2012

MV RUVUBU

Hii picha ilipigwa na mmoja wa Wana Ngara Bw. Vicent Bukuru. Nimeipata katika moja ya makundi katika mtandao wa Kijamii Face Book. Ni moja ya makundi ya wana Ngara. siku chache zilizopita nilitembelea eneo la Rusumo nikapiga Picha na kuandika strories kadhaa.

katika kivuko hiki,Maandishi yanasomeka MV RUVUVU. ila naamini maandishi hayo yapo kimakosa,Pengine ingekuwa vema kama yangeandikwa MV RUVUBU.

Ninachotaka kusema, Ngara imepiga hatua. Kivuko kilichokuwepo enzi hizo kwa wanaolifahamu eneo hilo watakumbuka kilivyokuwa.
                 Kila lakheri wana Ngara

No comments:

Post a Comment