November 14, 2012

Picha kutoka kwa Mdau



Hii ni Picha nanasi iliyopigwa na mdau mkuu wa www.ngarakwetublogspot.com Bw.Boniphace Shuuli katika eneo la Murugarama- Ngara, zikiwa tayari kusafirishwa kwenye masoko mbalimbali hapa Tanzania.
Ngara bado tuna fursa kutumia kilimo katika kujikwamua kimaisha.

No comments:

Post a Comment