November 7, 2012

Skuran kwa maoni ya Mdau Boniphace Shuli

Ngarakwetublogspot inapenda kuwapongeza wadau wake
Shukrani za pekee kwako Mdau mkuu Boniphace Shuli ukiwa Rulenge-Ngara na wadau wengine wote wa Kabanga Nickel.
kutokana na maoni yako, nimeyafanyia kazi. kwa faida ya wote wanaoifahamu Ngara na Rusumo naongeza picha zikionesha maporomoko na Daraja linayoiunganisha tanzania na Rwanda
Maporomoko

Daraja,kutoka Rusumo Ngara,kwenda Rwanda. hapo mbele kidogo kuna Hotel Nzuri inaitwa Amahoro

Maji ya Mto Ruvubu. Inasadikika kuwa ni miongoni mwa mito yenye VIBOKO Wengi(IMVUBHU) pengine ndio maana ukaitwa RUVUBHU.......! sijui.... nitafuatilia kwa wadau

No comments:

Post a Comment