Baada ya Uhuru, Watanganyika 1961 walifurahia kwa kumbeba Mwl.Julius Kambarage Nyerere kwakufanikisha uhuru huo kutoka kwa srikali ya wakoloni wa Waingereza |
Nyerere pia alifanikisha uhuru wamataifa mengine ya kiafrika |
Akaanzisha wazo la kuwasha Mwenge wa uhuru. Kumulika penye Giza,kuleta amani pasipo na amani na kuleta kuleta upendo palipo na chuki na mambo kedekede!
Picha hii,ni Mwl Nyerere wakati wa azimio la ARUSHA |
Viongozi wengi wa Afrika walitegemea na kuzitumia sana Busara za mwalimu Nyerere |
Nyerere alikubalika hata nje ya Afrika |
Mwalimu Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika(Bara) na Visiwani (Zanzibar) kuashiria Muungano rasmi uliopelekea jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964 |
No comments:
Post a Comment