March 12, 2013

UCHAGUZI WA PAPA


Makadinali 115 leo wanaanza mchakato wa kupiga kura ya kumchagua kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani katika ukumbi wa ndani  kwenye makao  makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican.
Katika kipindi hiki cha sala hakuna Papa aliewahi kuchaguliwa baada ya kura ya kwanza kupigwa.
Makadinali hao watapiga kura za siri hadi mara nne kila siku mpaka Papa mpya atakapochaguliwa

No comments:

Post a Comment