July 10, 2013

MWENGE WA UHURU WILAYANI BIHARAMULO KATIKA PICHA-www.ngarakwetu.blogspot.com
Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Bw.Lichard Mbeho akisoma Taarifa, pembeni yake kulia ni Katibu tawala wa wilaya hiyo


Mkuu wa mkoa wa kagera Kanal Fabian Masawe akiwa na Mwenge
Washereheshaji katika mbio za Mwenge wakicheza ngoma


Mkuuwa mkoa wa kigoma kanal Mstaafu Issa Saleh Machibya katika eneo la kanyoni, Mpakani mwa Biharamulo na Kakonko. Baada ya kumaliza Mbio zake mwenge wa Uhuru mkoani kagera,ulikabidhiwa mkoani KigomaVijana wa JKT

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanal Mstaafu Issa Machibyamakabidhiano kati ya Mkuu wa mkoa wa Kagera na Kigoma

makabidhiano kati ya Mkuu wa mkoa wa Kagera na Kigoma

Mwanahabari wetu Shaaban Ndyamukama akiwa na viongozi wa Mwenge
hapa tena Mwanahabari wetu Shaaban Ndyamukamakatika ya pamoja na  na viongozi wa MwengeHapa ni makabidhiano ya Mwenge kutoka Mkoani Kagera Kwenda Kigoma

No comments:

Post a Comment