July 22, 2013

MISA YA SHUKRANI YA PADRE ANSIGAR KATAISLE ILIYOFANYIKA PAROKIA YA RWINYANA-NGARA KAGERA

Kushoto ni Padre Johnbosco mhasibu wa jimbo la Rulenge-Ngara akiwa na Paroko wa Rwinyana Padre Patrick Kalile wakielekea kutabaruku makaburi katika misa ya shukrani ya Padre Ansigar Kataisile Francis Ntulo

Kushoto ndiye Padre Kataisile akiwa na Mwenzake kutoka Songea

Masisita wa Nyabihanga,na waumini wengine katika Ibaada

Picha ya Mapadre wa Rulenge-Ngara na wenzao wa Kutoka Peramiho Songera-Ruvuma wakiwa Ngara


Aliyevaa Suti na miwani katika Picha,ni Mbunge wa Jimbo la Ngara Deogratius Ntukamazina akiwa na waumini wa Kanisa Katoliki waliofika katika Misa ya Shukrani ya Padre Kateisile wakati wa kutabaruku makaburi ya wazazi wa Padre huyo

Mwana ngarakwetu.blogspot.com Shaaban Ndyamukama akisalimiana na Padre Asnsigar Kataisile baada ya misa ya Shukrani,nyumbani kwao Rwinyana wilayani Ngara.
No comments:

Post a Comment