July 22, 2013

Mbunge wa Ngara akiwa katika mkutano wa hadhara ktk kijiji cha Buhororo

Mh. Ntukamazina akifafanua jambo mbele ya mkutano

Hapa mh. Mbunge akijibu swali

Ni afisa Mtendaji wa kata ya Kibimba Bi. Jane Bihume akitoa taarifa kwa mbunge

Aliyesimama  ni Mwenyekiti wa kijiji cha Buhororo Bw.Thomas Donatus akitoa utamburisho katika mkutano huo

Wazee wa Buhororo

Wananchi wakifuatilia MkutanoMeza kuu

Wananchi


No comments:

Post a Comment